Mi bado udugu usinikoseshe mume puliizzzz πΉπππ na humu wote wamewahiwa,
Hakunaaaaaa ushindweeeeeeTupia mtraco ule tuuone π
Watu na mabebe zenu, na mie mniitie mmoja aje hapa aselfike nipate wa kusaidiana kuongeza mtaji wa vijora..!! πΉThe ghost writer hey Beibee, njoo hapa unioneshe kile amekupa baba.
ππππ
Niongezee bidii sasa kutembea na dawa zangu za Presha kama ninavyozurula na hii NIDA yangu πHuruma sio malezi unataka unifie nikaozee magerezaππ
Anza wewe, afu ujue mi kubembeleza sana siwezi..!!Anza sasa π
Hakunaaaaaa ushindweeeeee
Kuna mtu kasema nimekuona selfika unajianika huko na huku unashinda siasani watakufilimbaaa π π ππ
Nakuambia wewe hakuna huruma π ββοΈNiongezee bidii sasa kutembea na dawa zangu za Presha kama ninavyozurula na hii NIDA yangu π
Hawawezi huna impact hiyo..!!Hakunaaaaaa ushindweeeeee
Kuna mtu kasema nimekuona selfika unajianika huko na huku unashinda siasani watakufilimbaaa π π ππ
Ni ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JFHakunaaaaaa ushindweeeeee
Kuna mtu kasema nimekuona selfika unajianika huko na huku unashinda siasani watakufilimbaaa π π ππ
Sawa Mtu ya kongo πHawawezi. Labda kama upo na cycle ya watu wapuuzi, wakuuze.
Au sio mahi πHawawezi huna impact hiyo..!!
Huku anayetafutwa brittanica anayetoa Siri zao na wale majamaa wanaoiponda veggies kwa maneno makali..!!
Wewe tupia tu JIACHIE
Sawa mkuu basi shega π₯Ni ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JF
Sawa Mtu ya kongo π
Wanaweza hasa ukiwa mtu wa kutoa mawasiliano yako kwa watu humu jamviniNi ngumu mtu kukufikia kupitia platform kama hii ya JF
Kweli Wazee hatuna bahati π₯²Nakuambia wewe hakuna huruma π ββοΈ
Wewe tembea na Nida yako ila unipe habari za NSSF tupate budget ya msiba
Wote ni sold out. πππUsiniambie coca kwamba ni sold out π π πββοΈ
Naomba nitumie 3000 ya kula mkuu π₯ΉWanaweza hasa ukiwa mtu wa kutoa mawasiliano yako kwa watu humu jamvini
Labda uwe na marafiki ambao una uhakika hata wakilewa, bado wanabaki na Siri zako kichwani
Ndiyo maana hata ikitokea unatamani kumpa mtu msaada wa kifedha humu, vyema kutumia Wakala
Unataka kumfia nani lakini πKweli Wazee hatuna bahati π₯²