Nawe pia, afu nikuulize kitu? Kabla hujalala? πππ
Kumbe umewahi kuniona eeeh π πMwanya unaoπ₯³β€οΈ
Kwanini tenaπKumekuchaaa! Sasa hivi itakua vita hapa.
ππππ
Hili jina la avatar yako, lina maana gani? Sorry lakini.Enhee, uliza.
Dah basi kumbeee, ngoja sie wazee tuendelee na maugoro yetu jamani, humu Kwa vijana TUHapa zinataka za mvuto tu, ukiweka zingine, inasema try again later, au please wait at the moment
ππππ
Wee subirii uonee, nakuambia kinawaka sasa hivi, ππππKwanini tenaπ
Unapenda vitu vizuri cocaπ€£π―The Ghost Writter
Ila wewe jamaniWee subirii uonee, nakuambia kinawaka sasa hivi, ππππ
Hapana Dear, wee weka, labda mtanfao au server za JF zinasumbua.Dah basi kumbeee, ngoja sie wazee tuendelee na maugoro yetu jamani, humu Kwa vijana TU
π π dah nakemea hilo pepo fayaaaaπ₯π₯Wee subirii uonee, nakuambia kinawaka sasa hivi, ππππ
Niliona view onceπͺukaifuta dahKumbe umewahi kuniona eeeh π π
Labda awe ametulia, akiwa na mihemko yake, anakiwasha sio mda.Ila wewe jamani
πππππ π dah nakemea hilo pepo fayaaaaπ₯π₯
Aloooo ndio maa mwanya upo wa hapa na pale kwa ajili ya kutabasamia π π πNiliona view onceπͺukaifuta dah
Hili jina la avatar yako, lina maana gani? Sorry lakini.
Nashindwa kuaelewaπππππ
Eeeh ndiyooo, mie habari za kubabaika wakati wa kumtambulisha ba mpenzi nataka?Unapenda vitu vizuri cocaπ€£π―
Coca una dharau π π π ππΌEeeh ndiyooo, mie habari za kubabaika wakati wa kumtambulisha ba mpenzi nataka?
Mambo ya "usimuone hivi ana masters na pesa kwake sio shida zake" na hujaulizwa ana elimu gani au uchumi wake ukoje?
πππππ
Ila hua unataka wenzio wajianike π
Anyway Chivundu upo smart huna baya π₯