Chivundu em weka picha hapa hata Ugoko, khaaaah
ππππ
Amelala ππRas Chica
Lazima tumsuppport au unasemajeShauri zako
Kama unataka kutupia mistari anza me ntakupa supportππΉ
Aaaah sitakiii, πππ nakuonea huruma,Sasa Imagine nina hali gani Huku Yanga huku Man U π©π Usiku mwems mtani ππ
Akiamka tuko nayeAmelala ππ
Ni kofia au nini?Maliiiβ€οΈπ₯π₯π₯π₯π₯π₯³hii itamfaa Chica Gee maana anataka kunyoa dreadsπΈ
View attachment 3690835
Mule muleLazima tumsuppport au unasemaje
Haipingwiiii.Tukubaliane, natupia na wewe unatupia. π
πΉπΉ nilikuwa natania weeee ninyoeee ili iwajeee??? Nipo nipo sanaMaliiiβ€οΈπ₯π₯π₯π₯π₯π₯³hii itamfaa Chica Gee maana anataka kunyoa dreadsπΈ
View attachment 3690835
Aaaah sitakiii, πππ nakuonea huruma,
Mie kule Man city, leo tumekanyagwa na PSG. Afu Madrid kafanya comeback ya kibabe, aloooh.
πΉπΉ acha tu nakwambia, hapo kwa Madrid tupo pamojaAaaah sitakiii, πππ nakuonea huruma,
Mie kule Man city, leo tumekanyagwa na PSG. Afu Madrid kafanya comeback ya kibabe, aloooh.
Hivi upo serious??
Haya mdo maneno π₯³Kwa hisani ya chama langu Real Madrid, naomba niwape picha hata moja leo.
Haipingwiiii.
Za watu wenye mwili mwili huna?