spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,725
- 23,113
We mzee kwa kuvizia ππ unatokeaga mida flan tuUnaweza kuwa kimbaumbau lakini ukawa na shepu ya hatari.
Nihonge picha kwanza ili nirudishe moyo nyuma. Maana kila nikipita nakuta mshapita wewe, Win, seran, Chicca, naambulia manyoya π₯ΉAaah sio kweli
Usisemee ivooo
Unanipanga au sio? πΉnachokupendea hujui kuringa sema mapozi tajiri mapozi π em selfika bhana tusifie uumbaji wa Sir God π₯
Sema lingine binti kiziwiNihonge picha kwanza ili nirudishe moyo nyuma. Maana kila nikipita nakuta mshapita wewe, Win, seran, Chicca, naambulia manyoya π₯Ή
Weka picha tuone kama kweli ukiweka nalipaaaaa π₯π₯π₯π₯πΉπΉπΉ Unanimock?
Mi cheusi tii afu shapeless na kafupiiii
Hilo wowowo na rangi nimevitoa wapi?
najua π, tupia iyo body tea bhana acha roho mbaya π₯Hii nimeiona, tupia nyingine tajiriiiii ππ
Jamatini pale si town kabisa tena 2011 ile stendi ilikua bado inapiga kaziππMimi kuna kitu kimewahi nipata mitaa ya Jamatini, Dodoma, around 2011 hivi. Ilibidi niache niliokuwa nao wazuge kama bado wanakula, nikaenda ATM kutoa hela, nije nilipe bili za watu. π
Bili ilikuja mara mbili ya fedha niliyokuwa nayo.
Uko uduguu??Udugu pita nione rangi ya mtume, tena upite kwa kishindo cha wakoma kushangilia ushindi wa mnyama..!! πΉ
We mzee kwa kuvizia ππ unatokeaga mida flan tu
Ni kwel kabisakule ni hatari aisee, huku mjini tunaonja tu vyakula
Vilima kutafuta vigimbi tu wala sio unyama πΉπΉπΉZamani humu kulikuwa na uzi watu wanahamasishana kwenda kupanda mlima kilimanjaro, kulikuwa na mdada anaitwa Heaven on earth alitupia kapicha kibao akatoa na story ya kupanda mlima, Watu walihamasika wengine walienda.
Ule uzi nilikuwa napita kama naaga maiti.π
Ila Bali kuzuri nakuonaga tu huko mitandaoni
Hadi shape sina niko flat πΉπΉUnaweza kuwa kimbaumbau lakini ukawa na shepu ya hatari.
πΉπΉπΉ Unanimock?
Mi cheusi tii afu shapeless na kafupiiii
Hilo wowowo na rangi nimevitoa wapi?
Ana balaa huyoVyote unavyo, rangi na wowowo. π
Hadi shape sina niko flat πΉπΉ
Ana balaa huyo
Chochea motrooooπ₯Yeye anahisi kama hatumjui. π
Kaaaah! huko siyo kwa kwenda kuishi ππOwaa sio pow mkuu tukawapa wadau (wenyeji wa huko) walikua pemben na sinia lao wakapiga na yetu na bado wakasema hata ugari ukija tena wanabonda tukachokaππ
Vilima kutafuta vigimbi tu wala sio unyama πΉπΉπΉ
π₯Bali kwa moto mate π₯π₯
Hali ya hewa kama south vilee..!!