Kuna mtu mnamtafuta amepotea? πΉPita nilale umebaki wewe π
umejuajee?π tupia basi tajiri tuone mshepu huoKwahiyo usingizi wako unategemea pic yangu πΉπΉ
Bali panavuma, aliyeenda atuambie kwanza wanapanda panda je maana mi na starehe za kizungu mbali mbali, masuala kama ya kupanda na kuteremka kama kule pugu kazimzumbwi ππ»ββοΈTwende mpaka choma na kule Bali camp πΉπΉ
Moro nilitoka majuzi kati kwa moto sasa hivii..!!
Acha kona kona π€ͺKuna mtu mnamtafuta amepotea? πΉ
Wana selfika hao, watu wabayaaaaβ¦ Inshallah zitakuja tenahela saiv sina mshaniroga π
Watu wa motooniiππWana selfika hao, watu wabayaaaaβ¦ Inshallah zitakuja tena
Sawasawa mkuu.Uwanja wangu wa Nyumban huu sema itabid niongeze mahudhurio
Nimetoka hapo nimeshajifunza... Uzuri saiv natumia lipa sana kulipia bidhaa nikitumiwa hela kwenye simu siitoi itatoka kwenye manunuzi ndo kilichoniokoa walikua wana lipa namba..πDah! Nimecheka kinoma, bora ulikuwa na hela. Jenga tabia ukifika sehemu ya misosi,uliza bei kwanza. π
πΉπΉπΉπΉ Hapo kwanza nncheke..!!umejuajee?π tupia basi tajiri tuone mshepu huo
Owaa sio pow mkuu tukawapa wadau (wenyeji wa huko) walikua pemben na sinia lao wakapiga na yetu na bado wakasema hata ugari ukija tena wanabonda tukachokaπππππππππ
πΉπΉπΉ Ushaambiwa choma, choma si milimani..!!Bali panavuma, aliyeenda atuambie kwanza wanapanda panda je maana mi na starehe za kizungu mbali mbali, masuala kama ya kupanda na kuteremka kama kule pugu kazimzumbwi ππ»ββοΈ
Alafu huko kienyieji kienyieji kwel πππππbalaa mkuu, nilipita kwa Bibi akachinja jogoo akapakua kila kitu kaweka mezani af tuko wawili tu π sina hamu
nachokupendea hujui kuringa sema mapozi tajiri mapozi π em selfika bhana tusifie uumbaji wa Sir God π₯πΉπΉπΉπΉ Hapo kwanza nncheke..!!
Shape naitoa wapi mimi kimbau mbau km mwiko wa pilau?
Nimetoka hapo nimeshajifunza... Uzuri saiv natumia lipa sana kulipia bidhaa nikitumiwa hela kwenye simu siitoi itatoka kwenye manunuzi ndo kilichoniokoa walikua wana lipa namba..π
kule ni hatari aisee, huku mjini tunaonja tu vyakulaAlafu huko kienyieji kienyieji kwel πππππ
πΉπΉπΉ Unanimock?Acha kona kona π€ͺ
Nataka kuona rangi ya mtume na wowoooo pulizzzzzzz
Aaah sio kweliBasi tu nimewagaya π
Hii nimeiona, tupia nyingine tajiriiiii ππ
Zamani humu kulikuwa na uzi watu wanahamasishana kwenda kupanda mlima kilimanjaro, kulikuwa na mdada anaitwa Heaven on earth alitupia kapicha kibao akatoa na story ya kupanda mlima, Watu walihamasika wengine walienda.πΉπΉπΉ Ushaambiwa choma, choma si milimani..!!
Kupanda km Mt Kilimanjaro kunahusika..!!