ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,476
- 47,932
SitokiiiiToka zako hapa ๐๐๐๐
Me more than you my lovely sister ๐Miss you mam!
Toka hapa nimewanunia we na Seran ๐Nibless tu nisifie uumbaji wa Mungu
Sitokiiii
Sijatia mguu hapa muda kidogo ujue
โค๏ธMe more than you my lovely sister ๐
Weka nihakikishe basi mate, toto la kinyaturu lenye rangi ya dubenga..!! ๐นAaaaiiii ๐ฉ
Wanyaturu na miguu wapi na wapi ๐คฃ Mi naionaga miembamba watu wanasemaga ya kawaida tu uko sawa na mwili ๐คฃ
Saw babes ๐Jana nimemsikiliza Mdada mmoja ticktock, inabidi nije tuongee nikiwa nimetulia.
โค๏ธ
KwaninToka hapa nimewanunia we na Seran ๐
Sio saiv tena labda nje ya mjikanda ya ziwa vyakula kibao mkuu, sikuiz nikienda kutembea maskani huwa naondoka bila hata kuaga maana kila muda misosi ๐
pole mkuu napozungumzia mambo ya msosi lake zone naongelea Ushagoo. town achana napoSio saiv tena labda nje ya mji
Jana nimeuziwa wali nyama elfu nne tena mgahawa local njaa iliniuma nikasema wacha nile nikaagiza wali nyama bila hata kuulizia bei nikijua hapa ikienda sana 2500๐
Nimemaliza nauliza nilipe sh ngap naambiwa Elfu nne nilichoka ๐
Nikauliza Vita vya iran hivi hivi au mmetumia na vya Kongo ๐
Hapo sahihi๐pole mkuu napozungumzia mambo ya msosi lake zone naongelea Ushagoo. town achana napo
nmetoka uko mwezi wa 8 kutembelea ndugu na jamaa aisee kuna mshikaji wangu mmoja kwao dsm alihisi kama wanafanya kufuru ya chakula. tuliondoka bila hata kuaga mtu
Tuko muoneee ๐ Ngoja nitafute niliyokula kimini, ujue mi na miguu membamba afu napenda kujitoa ufahamu kuvaa vimini ๐๐Weka nihakikishe basi mate, toto la kinyaturu lenye rangi ya dubenga..!! ๐น
Tule tusamaki tuna chumvi? ๐คฃHalafu nimemiss tule tusamaki twa Moro wanatuita nguruka.. ๐น๐น
Basi tu nimewagaya ๐Kwanin
Mwema usiku na kwako pia mkuu
Nasubiri ๐ฅTuko muoneee ๐ Ngoja nitafute niliyokula kimini, ujue mi na miguu membamba afu napenda kujitoa ufahamu kuvaa vimini ๐๐
Tule tusamaki tuna chumvi? ๐คฃ
Nasubiri ๐ฅ
Eeh twenye chumvi nyingi ๐น๐น
hahah sema simu nlokua nimeenda nayo nilisahau restaurant juzi kati ningetuma picha humu ushangae, msosi wa mtu 3 unakuja kama mpo 10. tulikaa kama week mbili lkn tulishindwa kuzoea. unaamka asubuhi saa 3 unaoga unakaa kidogo chai Thermos mbili na maandazi zaidi ya ishirini mixer chapati zaidi ya kumi hahah af ni matam balaa yanashawishi kula mengi unapumzika kidogo saa 6 ugali mkubwa na mboga saba kuku mara sato wa mchuzi wengine wa kukaanga mara nyama ya kuchoma mara ya kupika ukila kidogo utasemwa balaa ๐Hapo sahihi๐
Niliwai kwenda Meatu ndani ndani huko kwenye harusi chai mnapewa sinia lina mlima wa maandazi na chai vikombe vikubwa alfu mnakua kama sita hivi ndo vitafunio vyenu hivyo mmalize๐๐
Tulikutana wote wa mjini hata nusu hatukumaliza
Ila selfika, hatujakoma tu kusemwa ๐คฃ
Uwe unapita mitaa hii, hata zile za simba na yanga zitaisha, Mwangalie Mahondaw huko juu kama hajafuta ๐คฃHapa stress zangu za Man U zimeisha kabisa๐ฅ๐ค
Kumbe kuna uumbaji nikiachana na mpira sikujua hili
Umeua mkuu ๐ฅ๐ฅ
Same to you babes ๐คโค๏ธbinti kiziwi bi mzuriiiii๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Sasa nilale unono