Selfika na JF: Snap it. Show it

Kimino kishakataliwa 😹

Yeye kakomaa na hiyo old school outfits kama za destiny’s child 😹😹

Aaaaiiii 😩
Hivi una miguu membamba?
Mbona siku ile niliona minene mate?
Wanyaturu na miguu wapi na wapi 🤣 Mi naionaga miembamba watu wanasemaga ya kawaida tu uko sawa na mwili 🤣
Au carrot situmii kwa wingi?

Tupia kapic nione basi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…