HayaEvening walk.View attachment 1293462
Majibu ya kipolisi!Haya
Kama ni police inabidi mtu ujisababishie kosa akiwa karibu iki aku arestMbona unatembea kikakamavu kama Polisi?
Majibu ya kipolisi!








Kama ni police inabidi mtu ujisababishie kosa akiwa karibu iki aku arest
God save us






Halafu wewe ndo umefanya nifute ile picha!! Wangeanza kuangalia mwendo!



NishatumaPoa usijali tuma tarakimu
Jr![]()



kwenye video hauonekani vizuri eti
Dah! Afu we mtoto wewetofauti ya video na picha ni nini?
zimebaki week mbili tuingie January, Dada jiandae ipasavyo
Geuka utanionaWengine tupo kijijin huk,..mjini kukoje huko?View attachment 1293486
Sent using Jamii Forums mobile app









Meishia hapo kama kuko na comments sijajibu mnisamehe maana mkwepu jr ndo anasababisha!
Unarudi wapi eti jamani











Hahahaaa ungenikamata maana mabasi ya mchina ndani yanafanana sana