Ona aibu basi πππ kile kivideo nilichokutumia nani yule?! Ile FF uliiona wapi kama sio status unataka nini tena dada?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nikupe ngapi?? Halafu wewe hadi leo haujanipa picha yako hata moja sema ni vile tu sina papara mtoto wa watu nikasema siwezi kukulazimisha utanipa siku ukijisikia!!
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ na umeona kwa bahati mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyoo na nisingeona ungesema ni kawaida yangu kupitwa kaone kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu nyumbani tule..Napenda sana ugali dagaa.
Ona aibu basi [emoji23][emoji23][emoji23] kile kivideo nilichokutumia nani yule?! Ile FF uliiona wapi kama sio status unataka nini tena dada?
Nakusendia nyingine ndani ya 30mnts na we jiandae
[emoji23][emoji23][emoji23] na umeona kwa bahati mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ndo kiongozi kabisaaMimi najitolea kuwasindikiza[emoji12]
Dah! Afu we mtoto wewe πππ tofauti ya video na picha ni nini?[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] Sasa hapo nani wa kuona aibu?? Kabisa unajitapa kuwa umetuma video,, tuma picha hebu tena full kabisa.. lol ni ombi lakini siyo amri!! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ zimebaki week mbili tuingie January, Dada jiandae ipasavyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bichwa lako na zawadi hupati
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo unatukimbia eeehhSiti ya mbele kabisa hapa...View attachment 1293164View attachment 1293165View attachment 1293166View attachment 1293167
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hii utaifuta???Isa Yellow...View attachment 1293397
NdiwoooHii utaifuta???
Mbona unatembea kikakamavu kama Polisi?Isa Yellow...View attachment 1293397
Naweza kuwa polisi pia!Mbona unatembea kikakamavu kama Polisi?
.Naweza kuwa polisi pia!
Hahahaaa ungenikamata maana mabasi ya mchina ndani yanafanana sanaHahaha hivi kumbe ningeamua kuweka dau kwa mtu atakayepatia hilo ni basi gani ningebaki na hela yangu eenh?? Na nina uhakika hakuna ambaye angepatia!!
Ni Al Saedy mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app