Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe kama wadada wamegoma kuinteract na wewe achana nao..!!

Sasa jiulize toka umeandika minyuzi yako na kuwaponda umepona ugonjwa wako?

Nyie ndo wale mkipewa nafasi huko piemuni mnaomba picha ili mwisho wa siku mzisambaze wadhalilike..!!
Waje hapa waseme nimewapa ruhusa , kama hawapendi ninachopost kitufe cha ignore kipo live tu.
 
Wataje wadada nilio watongoza humu na nina ruhusu kabisa waweke ushahidi wala Moderator msiwahukumu kwa chochote nipo hapa nasubiri
Sasa kama hawapo uliowatongoza kinachofanya uwaseme nini??

Unaonaje ukaanza kuwaweka hao unaowasema wabaya ili wengine nao wawachambue na watoe maoni yao..!

Picha zao si unazo?

Wewe si ulikua kila siku unajiliza hapa kwa ephen au umesahau? Au selfika imebadilika na JF yote?
 
Ngoja nichochee ugomvi , hayo ndiyo mambo ninayoyapendaga ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚

Labda wadada wa humu mliwahi kumkataa mwamba ndio maaana anatema moto mkali .

Nakumbuka enzi za shule tupo ghetto na machizi tulikuwa tunajadili Pisi Kali za shule na kuzithaminisha akatajwa demu mmoja Pele machizi wote kama 8 tulimsifia ni Pisi ila jamaa mmoja peke yake akawa anaabisha na kumkandia kinyama kuwa ni demu mbovu wakati huyo demu alikuwa Pisi ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

Kila tukipiga stori za Pisi mwamba anamkamdia huyo demu mpk tukawa tunashangaa tukawa tunahisi labda mwamba ana chuki zake binafsi au alimtongoza akapigwa kisu kikali , tukimwambia mwamba Madai hayo alikuwa anaakataa anasema demu ni mbovu tu wakati akipite barabarani kila sehemu watu weweeeeeeeh kafungasha haswa si yuko portable na rangi sio poa !!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mwisho wa siku tukagundua kwa taarifa za uhakika jamaa kumbe aliwahi kumtongoza akakataliwa vibaya mno ndio maana anachuki za kinyama kwa yule demu . Baada ya kugundua tulicheka sana tukawa kila tukimuona jamaa tunamcheka ๐Ÿ˜†
 
Hizi ballistic kama Iran ngoja nikufollow nipate update zaidi ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜‚!!

Nilichelewa sana kujua huu Uzi , siku hizi nitakuwa naweka bando kwa ajili ya huu uzi ๐Ÿ˜‚
 
Tunyooke kama rula ๐Ÿ˜† walionikataa waje waseme hapa waweke na chati zangu hapa wala mods wasiwahukumu๐Ÿ˜†
 
Mimi nakupasha kama wakili wao..!!

Acha kushindana na watu wanaoingia period kila mwezi, au wewe ni anko T unataka kuchambana humu??
Sishindani na watu , wala sina shida na mtu, ni mada tu kama mada zingine ndio maana mods wanaziacha labda zinagusa tu ila sina nia ya kumtageti mtu๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ