Selfika na JF: Snap it. Show it

Umeanza lini mafumbo? 😹😹

Cocastic unamuelewa shemeji yako?

Haya mi niko kundi lipi hapo ili nijirekebishe G 😹

Hii kweli kali sikutegemea muda huu kukutana na gazeti kutoka kwako..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ JF hii week ni full heka heka nakuambiaa.

Uduguu em nenda kulee kuna shengeshaa yangu bhana, usije sema sikukuita au kukuambia, maana najaribu kutag inashindikana.
Aloooooh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa umefikisha ujumbe kwa mtu uliyemkusudia..!! 😹

Hujanijibu, mi niko kundi lipi hapo?
Maana na mimi muhusika selfika..!!

Kwa single maza sipo, haya kwenye hayo makundi yaliyobaki kipengele kipi nipo? 😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila wewe, uwiiiih.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ JF hii week ni full heka heka nakuambiaa.

Uduguu em nenda kulee kuna shengeshaa yangu bhana, usije sema sikukuita au kukuambia, maana najaribu kutag inashindikana.
Aloooooh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna mupya gani tena? 😹😹

JF haipoi iko lebu lebu
 
Wapi huko? 😹😹

Mbona kumekucha mapema leo?
Nashangaa hadi muda huu sikuoni kule nikasema uduguu hajapewa taarifa, hata cantry? Maana alikua Live janaa, akitaka kuona anguko langu, cha ajabu staring kakimbia mapema.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nashangaa hadi muda huu sikuoni kule nikasema uduguu hajapewa taarifa, hata cantry? Maana alikua Live janaa, akitaka kuona anguko langu, cha ajabu staring kakimbia mapema.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kantry hawezi kunipa taarifa hizo yeye yuko busy kutetea milupo yake connection zao zisivujishwe..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…