Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Umepatiwa kazi kabla hujagraduate..!! Chezea babu miga..

Halafu hizo kazi zote zipo kwenye vitengo vizuri vya pesa..!!
Ushindwe wewe..

Babu alikua na ulimbo mkali, ndiomana alizitafuna sana..!!

Watu wakisikia watapewa kazi Airport, TCRA au bandarini chap wamevua vichupi..!! Miga anajiondomolea kwa raha zake na selfie ya ukumbusho unapigwa kukazia kazi..!! 😹
 
Tena alivyokua ananipania. Unaambiwa Selfika nzima aliwapanga anakuja kuwapa full details zangu na ushahidi juu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹😹 Ila babuu

Kuna parody lake moja alikuja nalo akaniambia wewe lazima ndani ya huu Mwaka nikukamate labda kama sio mimi.

Hiyo ilikua 2024 nikacheka sana..!!

Nilitaka nimfanyie utoto wa mjini lakini nikaona nitapoteza muda kudeal na machizi..!!

Yani huyo ningeruhusu tukutane lakini yeye ndo angekuja kusimulia yaliyomkuta..!!

Na pics angepigwa yeye 😹😹😹

Anakutana na wajinga wanamchekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…