kakake nimepata majibu asee. . Nilikua najiuliza pekeangu tu
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
okay thanks, nimekuwa nikizitafuta sana hizo kitu...
22 nimegunduaHahah nimemaanisha ulivyopiga hiyo hesabu umegundua nina miaka mingapi??
Lol natamani sana ningekuwa na huo umri wa kupunguza ili kusudi nipunguze vizuri!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamua kujikaribisha maana hamna namna.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ah wapi wewe huyo kwangu hakuji hata kwa bunduki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi najitolea kuwasindikiza[emoji12]Tupe ramani, najitolea mafuta kama kuna mtu ako anajitolea private car
Its sundayView attachment 1293079
Khaaaaaah!! Yuko mature tu kuliko umri wake.Utakua kati 24 mpka 27. Though sio mzuri katika kudhania..
Nimepatia?
vijana wenzangu wa kiume tufanye kazi kwa bidii na tutafutane pesa sana. vinginevyo kuna baadhi ya maisha tutakuwa tunayaishi kwa kupitia ndoto tu.
huu ni mjengo wa kijana mwenzetu mtanzania kama unavyoonekana kwa ndani.nilienda kumtembelea hivi karibuni nyumbani kwake, akaniruhusu nifanye utalii kidogo.
hongera sana "nshomile" richard kwa mjengo huu.
View attachment 1293073
Mungu anakuona mkwe.Heri kutoa kuliko kupokea...mwaliko na uanze kwako mkwe
Hahahaaa kwani ana umri ganiKhaaaaaah!! Yuko mature tu kuliko umri wake.
[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji1745]Tunakufuata huko huko