spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,494
- 22,679
Ndo naelekeaHapo ndio ziwani?
Hongera kwa kumpa tayana mtu sahihi bado mimi sasa..!! Shusha mkeka nichague..!Huyo dogo pesa anayo na anajua kuitumia. Tayana kapata mtu makini sana
Kwa kuwajaza watu uko vizuri 😹😹Huwa anazinguaga wengine kuwashika mkono, ila kwako naamini atakubali🙏
Mbona leo umekuwa na kitambi afu mweusi ti?Ndo naelekea
Kwan si ndivo nlivo au unachanganya mafileMbona leo umekuwa na kitambi afu mweusi ti?
Nachanganya na la nani tena😃Kwan si ndivo nlivo au unachanganya mafile
Oooh,msalimie aunt mrembo🥰.Hiyo ilikuwa imechanika kwenye harakati nikaishi nayo.
Subiri migebuka tuNachanganya na la nani tena😃
Sawa usisahau..Subiri migebuka tu
SiweziSawa usisahau..
Ulale unono!Siwezi
Nibless tu hapoUlale unono!
Leo naumwa acha tu!Nibless tu hapo
So migebuka hautawezanaLeo naumwa acha tu!
Poleee sana ningekua kilingeni ningekuaguaLeo naumwa acha tu!
Asante sana wasiliana na babu afanye jambo!Poleee sana ningekua kilingeni ningekuagua
QRAsante sana wasiliana na babu afanye jambo!
Hata asipokubali namng’ang’ania 😂Huwa anazinguaga wengine kuwashika mkono, ila kwako naamini atakubali🙏
Country ni mbea tu lakini sio Muongo 😂Usimkize anakudanganya, mi mabovu napigwa na vumbi tu hapa Congo 😹😹😹
Selfika wamelalaCountry ni mbea tu lakini sio Muongo 😂
Ni mtu anayetoa taarifa ya kweli ambayo haikuwa lazima kuitoa 😅