Basi ulipitwa mwanetuMchana nilikua mnadani uvinza
Sisi ndio tunafanya assessment, na kutoa compliment.Mnanikosesha raha ya kujianika humu kwa kuzidisha sifa wanangu🙄🙆🏽♀️
Basi imeisha hio mwandamizi
Weeee bana weeee! Kwenye kile kigauni cheupe, Naungana na wanaume walichoona nimeona 🤣Kumbe nina figure na hamniambii? Ila 🙇🏽♀️
Sisi ndio tunafanya assessment, na kutoa compliment.
Ni yeye ni yeeeeeeeyeee! 😅😅 🔥 🔥@Seran
Hizi mvua za el ninho ziwani itakua balaaNi yeye ni yeeeeeeeyeee! 😅😅 🔥 🔥
Dahh hata wewee🙆🏽♀️Weeee bana weeee! Kwenye kile kigauni cheupe, Naungana na wanaume walichoona nimeona 🤣
Mwaya ringa kwa kile ulichopewa na mama.Dahh hata wewee🙆🏽♀️
Migebuka watamu kuliko hao wa kwenu satoNataka migebuka namimi niionje ladha yake nimekuona kaka spider wee leo ntalala unono 🤩
Kama mimi navoringia uziwi wako ya wengine huyasikiiiMwaya ringa kwa kile ulichopewa na mama.
Kabisaa shorii👌🏽💃🏽Mwaya ringa kwa kile ulichopewa na mama.
🤣🤣🤣🤣🤣 ila!!Kama mimi navoringia uziwi wako ya wengine huyasikiii
Shida ya seran maneno mingi picha kidogoKabisaa shorii👌🏽💃🏽
Kweli?? Unitumie gebuka moja nipime maneno yako😂Migebuka watamu kuliko hao wa kwenu sato