Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 604
- 1,252
Weka hapa selfika kwa faida ya wengi . πHabari kwa ufupii,
Km unajijua ulikua unajiprosooo na bwana wa JF humu ndani, habarii ikufikie, mwenzio ubuyu kaumwaga kwa wambea na upo km ulivyo. Hadi picha zako za naked kwa juu. Zipoo.
Yaani Ubuyu upo na tunatambaa naoo, kaa kimastaa mwaegoo.
Waleteeeeeeeee katiiiiii!! πππ
Alamskiiiiii.
Nangoja wewe upite namimj nijipitishe shwaaMasaa matano sasa unasifia tu kupita aanhπ
Mwenyewe nakusubiri tangu saa 12πNangoja wewe upite namimj nijipitishe shwaa
Mtumbwi umefika?πalamsiki watanzania
Tulale sasaaaaNyingine nitazijia PM maana mmmh! Wahuni wako macho macho.
Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!cocastic kuna mwamba alikua anamwaga vocha humu nmemsahau handle yake alkua anaitwa nani?
Wanyama gani katikati ya maji?Mno ukienda wa mnyama wanajaa kama nzige
Mida tayariMtumbwi umefika?π
Kisa vocha?Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!
Mapema sana!Mida tayari
Hizo picha hata mi zilishanifikia. Inasikitisha!Habari kwa ufupii,
Km unajijua ulikua unajiprosooo na bwana wa JF humu ndani, habarii ikufikie, mwenzio ubuyu kaumwaga kwa wambea na upo km ulivyo. Hadi picha zako za naked kwa juu. Zipoo.
Yaani Ubuyu upo na tunatambaa naoo, kaa kimastaa mwaegoo.
Waleteeeeeeeee katiiiiii!! πππ
Alamskiiiiii.
Kibatali kimezima utambi umeisha hapa hadi keshoMwenyewe nakusubiri tangu saa 12π
Vawulensiii!! Mie nimetoa tahadhari, ili akae kwa nywila.Weka hapa selfika kwa faida ya wengi . π
πππ wee ya kweli haya?Alijizolea umaarufu mkubwa...na masista du wengi aliwatembezea sana mkong'oto hapa!
Usiniambie nawee ubuyu huu unao? Jamanii mbona vibaya hiviii.Hizo picha hata mi zilishanifikia. Inasikitisha!
Aisee basi sawaaKibatali kimezima utambi umeisha hapa hadi kesho
Fanya ivo basi ili nilale sasaAisee basi sawaa