Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari kwa ufupii,

Km unajijua ulikua unajiprosooo na bwana wa JF humu ndani, habarii ikufikie, mwenzio ubuyu kaumwaga kwa wambea na upo km ulivyo. Hadi picha zako za naked kwa juu. Zipoo.

Yaani Ubuyu upo na tunatambaa naoo, kaa kimastaa mwaegoo.

Waleteeeeeeeee katiiiiii!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alamskiiiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…