Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Haha,Kumbe jf ni world-wide
Ni more than that I bet!!
Haha,Kumbe jf ni world-wide
Hivi kweli ukaona dada zako tunasemwa hatuko class, mbele ya dunia nzima wewe ukaogopa kuitwa mwanaume feki? MekusameheNilitaka kusema kitu ila nikaona nitaitwa sio mwanaume kamili.
Ikabidi nitafute evidence kwanza. Picha niliona na mbaya zaidi nilipita kama guest.
Hapana mkuu miguu ya huyo dada ni mizuri sana ata kama sio yeye... ila kama duniani kuna miguu mizuri kama hiyo basi ipewe sifa... Basi kwa upande wangu siwezi kusema uongo ili kuwaridhisha waafrikaUlisema samahani kwa kuwaridhisha.
Kwa sababu waliwaka. Ila baada ya kujua ukweli ingependeza uombe radhi kwa kuukashfu uafrika na kushobokea ngozi nyeupe au sio boss?
Kwani amekwambia anataka kupunguza mwili 😂😂Agiza juice ya limao naja kulipa
Weee Ina maana paja langu bayaHapana mkuu miguu ya huyo dada ni mizuri sana ata kama sio yeye... ila kama duniani kuna miguu mizuri kama hiyo basi ipewe sifa... Basi kwa upande wangu siwezi kusema uongo ili kuwaridhisha waafrika
Miguu ya huyo dada ni mizuri, ni mizuri sana kuliko picha zote zilizo postiwa hapa kwenye huu uzi
Ni kweli zile picha sio zake..ila ni nzuri na siwezi kuamini kama hawa wengine walio weka picha ni 100% za kwao ....
Kwaiyo bado nasimamia mawazo yangu katika picha zote zilizo wekwa hapa, nimependa miguu ya huyo dada



Ayeeeeee 😘😘😘😘😘Nyau mwenyewe huyuView attachment 1219723
Hizo nyama kwangu sitaweza kuzihimili niwe mkweli au ufanye "dayati"Binti Mimi mwenyewe..
Unanionaje?![]()
😂😂mimi mwenyewe nimerithishwa
Paja lako sijaliona...Weee Ina maana paja langu baya![]()

na sio vizuri kulionakwann umetufanyia hiviMuolewaji Ni Mimi mwenyewe
Sakayo
Depal
mshipa
kapeace
Nimetupia fullView attachment 1219716View attachment 1219717
Haha.!!Angalia avatar yako![]()
huyu ndiye wewe Sasa sio?Nyau mwenyewe huyuView attachment 1219723

Kuja kuuana na vidonda vya tumbo bureHizo nyama kwangu sitaweza kuzihimili niwe mkweli au ufanye "dayati"