Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,422
- 98,616
mie nakuselfika wapi na wapi ? SURA hii ni selfike kweli ?Anh
Tabora chap nakufikia
Haya weka selfie Sasa
Tusafishe macho asubuhi hii.
Hivi Seran
Missy Gf
Christine_1
Tresor Mandala
Wameshaselfika?
Wote tushafanya yetu kasoro wewe na huyo TMAnh
Tabora chap nakufikia
Haya weka selfie Sasa
Tusafishe macho asubuhi hii.
Hivi Seran
Missy Gf
Christine_1
Tresor Mandala
Wameshaselfika?
Mimi ni retired memberUtanielewa Saint Anne akitubless
mimi sina sifa za kuselfika aisee, hapa ndio nimechemkaWote tushafanya yetu kasoro wewe na huyo TM
Ujue nimecheka duh Mungu atupe wanaume watakaotujali tukiwa tumefuliaNimemaliza hapa kukopa mgodi😊
Kumbe tunatakiwa kustaafu etiMimi ni retired member
Tumewaachia Sasa vijana nao wamchangie Uzi wetu uzidi kwenda mbele.
Maana sisi tumeusongesha sana page hadi Elfu kumi na kitu, ni selfie zetu.
umechemka una homa? Hebu selfika bwana😅mimi sina sifa za kuselfika aisee, hapa ndio nimechemka
hahahaha,tupo tunaojali ila mnatutaki mnataka wajanja wajanjaUjue nimecheka duh Mungu atupe wanaume watakaotujali tukiwa tumefulia
Hata wakitujali kukopa kunatokea tu nakwambia😅Ujue nimecheka duh Mungu atupe wanaume watakaotujali tukiwa tumefulia
kwahiyo mkopo kwenye simu, mkopo ASA,OYA ,MUAMALANimemaliza hapa kukopa mgodi😊
Hahaa wajanja wajanja ndo wapoje ?hahahaha,tupo tunaojali ila mnatutaki mnataka wajanja wajanja
hahahahahaha,nimejifunza jambo hapaHata wakitujali kukopa kunatokea tu nakwambia😅
Hebu nielekeze na hao wanakopwsje mi niwakope tu! Bora mikopo ya hawa kuliko ya wanaume😎kwahiyo mkopo kwenye simu, mkopo ASA,OYA ,MUAMALA
😩😩Hata wakitujali kukopa kunatokea tu nakwambia😅
Jambo geni tena mwanetu😁hahahahahaha,nimejifunza jambo hapa
mnawajua wenyeweHahaa wajanja wajanja ndo wapoje ?
😩🤣🙌🙌🙌🙌Hebu nielekeze na hao wnaakopwaje mi niwakope tu! Bora mikopo ya hawa kuliko ya wanaume😎
kukopa kwenu ni lazima sio muhimuJambo geni tena mwanetu😁
mie naonaga tu sijui ,watafuteHebu nielekeze na hao wanakopwsje mi niwakope tu! Bora mikopo ya hawa kuliko ya wanaume😎