Selfika na JF: Snap it. Show it

Yea siku nikipata nawalipa
Ila haya maisha kuna kipindi nilikuwa nasajili kila baada ya siku 2, si bure tu
Unapata 1 gb🤣
Kila mtandao ...badae nikawa naenda nafuta usajili🙌
mmmh ina maana unapitia yote hayo? aisee fanya nipate namba yako walau siku moja moja niwe nakurushia hata kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…