Selfika na JF: Snap it. Show it

Mtumishi kwa cv yako humu na nje hayo yote uliyosema ni uongo,binafsi siamini hata aje Yesu
Uzuri mie huwa sidanganyi...na sina sbb za kufanya hivyo
Mie jobless sina issue...nakula ugali wa shikamoo kwa mzee...
Hahaha 😁

Na nimekopa bundle now
 

Attachments

  • Screenshot_20260906_085912_Messages.jpg
    90.4 KB · Views: 3
Yaa wqzee wanaelewa mbona
Na wanatusaidia wanapoweza..
🤣🤣🤣rti unahofia jimbo lina mtu wa kudumu
Nimecheka sn
hahahaha wazee now wanajua hali halisi ya ajira

eeh naona majimbo yote humu yana wagombea wa kudumu, yaani yale majimbo ambayo naona kama haya nikiwa mbunge hapa nanenepa nakuja kukuta kumbe lina jimbo lina mbunge wa kudumu ,nabaki mwenyewe

acha nitafute kdg kdg
 
🤣🤣🤣siamini
Mbona mengi tu yapo wazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…