ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,388
- 45,740
Acha unafiki uende mbinguni mkuu ebooooSasa mbona umefuta hata sijaona! Ndio nini sasa!
ππ wanaume sio watuWanaume wanasema OG haichoshi nzuri, tulia hapo! π₯°
Acha unafiki uende mbinguni mkuu eboooo
Mi mwenyewe nafuta km hauko sharp basi tenaSio unafiki, nimeona tuu mgongo! Najibu comment, nirudi nione tena, umefuta. Ila sio ugomvi, sawa. π
Ilikua sio kwa ajili yako hata hivyoSio unafiki, nimeona tuu mgongo! Najibu comment, nirudi nione tena, umefuta. Ila sio ugomvi, sawa. π
Low key you are a comedian πππππView attachment 3663860
Tayari π
Mi mwenyewe nafuta km hauko sharp basi tena
Eeeh eeeh eeeh!!Ni chap nafuta hahaa
πππwakatufungulie uzuIlikua sio kwa ajili yako hata hivyo
Ilikua kwa ajili ya my Sister na ameona inatosha hivyo tu π
NB : ukitaka peleka salamu kwenye ile circle π€£π€£π€£
Who cares Mahi ngozi ngumu hii π€£π€£πππwakatufungulie uzu
π€£π€£π€£ nashindwa kuaelewaNa wewe ushafuta! Afadhali wewe nimeona japo kidogo! ShesRise_1 hataki kabisa nione hata shepu. π
Nin shida broEeeh eeeh eeeh!!
Vitu gani tenaAna vitu vyangu kabisa huyu! π
Nimevionaaaaa!Ana vitu vyangu kabisa huyu! π
π€£π€£π€£ nashindwa kuaelewa
Vitu gani tena
Au hujui mi sitakiwi kutumiwa hela ππ
Eeeh niliona sehemu unajimaliza oooh Selfika watu wanafki wanafiki who π€£Kwa sauti ya mchina. π