Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 43,780
Sanaaaa hahaaKuna enye ni mabinti wamechakaa sura ngumu kuliko hata sie the aunties hebu watuache hukoo!! ๐๐๐โบโบโบโบ
Na mna miili mizuri hadi raha miili ya kubebeka na kumdekea mtu!Miili yetu ya kujidai
Jamani si tumekubaliana tunasifia kila atakaye selfika au๐๐๐Kuna enye ni mabinti wamechakaa sura ngumu kuliko hata sie the aunties hebu watuache hukoo!! ๐๐๐โบโบโบโบ
Acha kabisa mnywani!!Hahaha na sio vita mmoja!!
Na kama ni jeshini ungekua na cheo cha u field marshal
Kabisaa! Wenzie tuna kazi ya kuvunja chaga huku๐Na mna miili muzuri hadi raha miili ya kubebeka na kumdekea mtu!
Ukimkalia mtu unachambwa ufanye mazoezi utamuua โบโบโบKabisaa! Wenzie tuna kazi ya kuvunja chaga huku๐
Nilimkalia mtu kwenye paja nilifukuzwa๐คฆ๐ฝโโ๏ธUkimkalia mtu unachambwa ufanye mazoezi utamuua โบโบโบ
Ila akili yako wwNilimkalia mtu kwenye paja nilifukuzwa๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Hakuna picha nilizipenda kama hizi jamani๐Haya waichukue
Kuna vitu vikikukalia hata kama ni vizito kiasi gana Kuna mda unavungaUkimkalia mtu unachambwa ufanye mazoezi utamuua โบโบโบ
Aliniudhi๐Ila akili yako ww
Nimecheka
Ndo ilivo lamama yule usingempa credits uone venye angeumia kukosa wakumuunga mkono!!Jamani si tumekubaliana tunasifia kila atakaye selfika au๐๐๐
Wee kuna wenzio hawavungi!Kuna vitu vikikukalia hata kama ni vizito kiasi gana Kuna mda unavunga
HahaaHakuna picha nilizipenda kama hizi jamani๐
Umeniacha hapa mamaake, wapi hapo nimeyabananga?Ndo ilivo lamama yule usingempa credits uone venye angeumia kukosa wakumuunga mkono!!
Umefanya kosa kureact palepale!
Oya weeeeHaya waichukue
Zilikuwa nzuri sana natumai wengi walizikubali sana ile siku!Hahaa
asante kumbe
Ninazo kibao
Weee mnywani bongez iko siku watakuua ujue khaa!!Kuna vitu vikikukalia hata kama ni vizito kiasi gana Kuna mda unavunga
Alooo๐ข๐ขUlikuwa wapi weye Brian naweee??? Umepitwa sanaaa watu wametupia vitru matratra sanaa.. tena nakedddfdd