ππHapo kabla haujafika jembe ni jembe penyeweWee siku hizi pamekuwa hivi?π«’
Hmm kipindi nasoma chuo nilikuwa naenda hapo avash, jembe nilikuwa naenda nilipomaliza six! Aisee palikiwa panahit, yule roberto wa amarula alikuja pale mwaka ulee oyaaπ«’ππHapo kabla haujafika jembe ni jembe penyewe
Sijaenda muda mrefu nilikua mdau mkubwa wa Avesh naona saiv wamefunga
Kwamba mtu ale kimoja kimoja asifakamie vyote kwa pamoja au???
Palikua pa moto sanaHmm kipindi nasoma chuo nilikuwa naenda hapo avash, jembe nilikuwa naenda nilipomaliza six! Aisee palikiwa panahit, yule roberto wa amarula alikuja pale mwaka ulee oyaaπ«’
Ndio nashindwa kuwalewa!πKwamba mtu ale kimoja kimoja asifakamie vyote kwa pamoja au???
Noma sana
Bora avash ila sio jembe! Jembe ilizama kwenye majiπPalikua pa moto sana
Miaka mingapi hapa ziwa liliongezeka kwel Avash pakaharibika sana wamejaribu kuludisha kama zaman naona wameshindwa wamepatelekezaπ
Fanya hivyo!Nikienda tena nitakupigia picha uone palivyogeuka magofu
Huko ndio palijifia mapema tu!Jembe sijajua ila na wao pia walikumbwa na issue ile ile
Usijali vitu vitashuka tu mnywani wangu maho anajuaNdioπ
Baai freshy!πUsijali vitu vitashuka tu mnywani wangu maho anajua
ππSijawi kwenda kabisa huko naishiaga Semanene pale jina jingine TamaliBora avash ila sio jembe! Jembe ilizama kwenye majiπ
Week hii utaipata nikienda tenaFanya hivyo!
Mbona watu bado walikua wanaendaHuko ndio palijifia mapema tu!
Picha ilivokua inagoma kufunguka nikasema emollah jalia niikute hii picha haijatolewa; nakutana na kitu tofauti kabisa
Ooh napajua nimeshalala hapo pametulia sana!ππSijawi kwenda kabisa huko naishiaga Semanene pale jina jingine Tamali
Fanya kweli aisee..Week hii utaipata nikienda tena
Mbona watu bado walikua wanaenda
UkomeππPicha ilivokua inagoma kufunguka nikasema emollah jalia niikute hii picha haijatolewa; nakutana na kitu tofauti kabisa
Fanya hivo mtandao ukikaa sawa ntarekebishaUkomeππ
Siwezi kujisahau namna hiyo!Fanya hivo mtandao ukikaa sawa ntarekebisha
Itabidi nifike nione huwa wanafata nini kule...Ooh napajua nimeshalala hapo pametulia sana!
Fanya kweli aisee..
Labda waliendea jina tu ila haikuwepo tena ilimezwa, hata dr jembe hakuendelea kuipambania maji yalizidi ungaπ
Eendiwoo ndiwooo mnywaniUsijali vitu vitashuka tu mnywani wangu maho anajua
Mwanamke kujiamini atiπAmini kwamba!! Kikubwa ni kujikubali. Nimependa sana iyo confidence madam.
DooohApateeeeee. Nimepata
Seran Kapachino Christine_1 Brian Spilner mnapitwa na mibaraka hukuuuuuuuπ£π£π£π£π£π£
Mtromtroooo mashallaaahhh π₯π₯π₯ una mwili mzuriiiii sanq jamanii! Stake zakushatroooo
Hakika mchana wangu umekuwa mzuri sana
Wabheja sana
Why?umekuja kivingine,selfika kdg