Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 14, 2019 #42,221 Depal said: Inachelewa kufutika kama dk 3 hivi au zaidi Click to expand... Mkongwe mwenyewe
Boveta JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,258 Reaction score 3,931 Dec 14, 2019 #42,222 Iceberg9 said: Vitambi sio vizuri Click to expand... Mie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja.
Iceberg9 said: Vitambi sio vizuri Click to expand... Mie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 14, 2019 #42,223 Hawachi said: Yes magonjwa yanaunga urafiki na mwili Click to expand... Vipi shemeji yangu anakosaje kitambi wakati wewe nimpishi hodari
Hawachi said: Yes magonjwa yanaunga urafiki na mwili Click to expand... Vipi shemeji yangu anakosaje kitambi wakati wewe nimpishi hodari
Boveta JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,258 Reaction score 3,931 Dec 14, 2019 #42,224 Hawachi said: Yes magonjwa yanaunga urafiki na mwili Click to expand... Ukweli mchungu.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 14, 2019 #42,225 TASLIMA said: Mie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja. Click to expand... Mazoezi na balance diet viende sambamba
TASLIMA said: Mie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja. Click to expand... Mazoezi na balance diet viende sambamba
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 14, 2019 #42,226 Iceberg9 said: Vipi shemeji yangu anakosaje kitambi wakati wewe nimpishi hodari Click to expand... Asubuhi huwa namuandalia maji ya uvuguvugu anywe kikombe kimoja.
Iceberg9 said: Vipi shemeji yangu anakosaje kitambi wakati wewe nimpishi hodari Click to expand... Asubuhi huwa namuandalia maji ya uvuguvugu anywe kikombe kimoja.
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 14, 2019 #42,227 Iceberg9 said: Mazoezi na balance diet viende sambamba Click to expand... Fact
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 14, 2019 #42,228 TASLIMA said: Mie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja. Click to expand... Punguza kula vitu vya sukari na ndugu yake mafuta
TASLIMA said: Mie nilikazania mazoezi kika pungua asee...now kinarudi kwa mbaali baada ya uvivu kuja. Click to expand... Punguza kula vitu vya sukari na ndugu yake mafuta
Boveta JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,258 Reaction score 3,931 Dec 14, 2019 #42,229 Iceberg9 said: Mazoezi na balance diet viende sambamba Click to expand... Nita jitahidi nipunguze nyama...nyama zinani vimbisha kitambi.
Iceberg9 said: Mazoezi na balance diet viende sambamba Click to expand... Nita jitahidi nipunguze nyama...nyama zinani vimbisha kitambi.
Boveta JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,258 Reaction score 3,931 Dec 14, 2019 #42,230 Hawachi said: Punguza kula vitu vya sukari na ndugu yake mafuta Click to expand... Asee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana. Nipunguze supu na nyama choma labda.
Hawachi said: Punguza kula vitu vya sukari na ndugu yake mafuta Click to expand... Asee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana. Nipunguze supu na nyama choma labda.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 14, 2019 #42,231 Hawachi said: Asubuhi huwa namuandalia maji ya uvuguvugu anywe kikombe kimoja home ipo mashine ya mazoezi. Click to expand... Unamtetea Mr....
Hawachi said: Asubuhi huwa namuandalia maji ya uvuguvugu anywe kikombe kimoja home ipo mashine ya mazoezi. Click to expand... Unamtetea Mr....
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 14, 2019 #42,232 daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala Hazard CFC said: Cha mapemaaView attachment 1292032 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala Hazard CFC said: Cha mapemaaView attachment 1292032 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 14, 2019 #42,233 Iceberg9 said: Unamtetea Mr.... Click to expand... Hana nakwambia na akianza kuwa nacho huwa nampiga tukio kinapungua
Iceberg9 said: Unamtetea Mr.... Click to expand... Hana nakwambia na akianza kuwa nacho huwa nampiga tukio kinapungua
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 14, 2019 #42,234 Karma said: daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ukianza kunywa kabia ka safari nijulishe nitkuongeze nyingine
Karma said: daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ukianza kunywa kabia ka safari nijulishe nitkuongeze nyingine
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 14, 2019 #42,235 Na nikinywa ka balimi je?? Iceberg9 said: Ukianza kunywa kabia ka safari nijulishe nitkuongeze nyingine Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Na nikinywa ka balimi je?? Iceberg9 said: Ukianza kunywa kabia ka safari nijulishe nitkuongeze nyingine Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 14, 2019 #42,236 Hawachi said: Hana nakwambia na akianza kuwa nacho huwa nampiga tukio kinapungua Click to expand... Unampiga tukio gani¿ la kumcheat ili apate stress sio?
Hawachi said: Hana nakwambia na akianza kuwa nacho huwa nampiga tukio kinapungua Click to expand... Unampiga tukio gani¿ la kumcheat ili apate stress sio?
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,884 Reaction score 51,706 Dec 14, 2019 #42,237 Karma said: Na nikinywa ka balimi je?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Safari ndiyo nataka ili ukisindikize vizuri
Karma said: Na nikinywa ka balimi je?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Safari ndiyo nataka ili ukisindikize vizuri
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Dec 14, 2019 #42,238 Amen.... nakutakia kila la kheri Karma said: daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Amen.... nakutakia kila la kheri Karma said: daah ushanitamanisha,, leo usiku ndiyo itakuwa dinner yangu hiyo.. naisindikiza na kabalimi au kasafari kamoja halafu nalala Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 14, 2019 #42,239 TASLIMA said: Asee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana. Nipunguze supu na nyama choma labda. Click to expand... Mbadala wa sukari hamna mpendwa bali unaweza kupunguza kunywa baadhi ya vinywaji.
TASLIMA said: Asee mbadala wa sukari ni nini? aisee, soda na juice nimepunguza kiasi na sukari kwenye chai naweka kidogo sana. Nipunguze supu na nyama choma labda. Click to expand... Mbadala wa sukari hamna mpendwa bali unaweza kupunguza kunywa baadhi ya vinywaji.
Hawachi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2018 Posts 12,010 Reaction score 54,201 Dec 14, 2019 #42,240 Iceberg9 said: Unampiga tukio gani¿ la kumcheat ili apate stress sio? Click to expand... Sio hilo 😄😄😄
Iceberg9 said: Unampiga tukio gani¿ la kumcheat ili apate stress sio? Click to expand... Sio hilo 😄😄😄