T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
ShikamoShikilia hapoohapooooo!!!
Nasubiria bia ikoleee nisafishe macho mieeeee!
Usijareee kabisa ntakuita
ShikamoShikilia hapoohapooooo!!!
Nasubiria bia ikoleee nisafishe macho mieeeee!
Usijareee kabisa ntakuita
Fanya hivyo la mama😍Shikilia hapoohapooooo!!!
Nasubiria bia ikoleee nisafishe macho mieeeee!
Usijareee kabisa ntakuita
Unataka kuninyima ninj wee Eli! Shika mwenyewee!Shikamo
Usiwaze napita uchiiii kabisa!Fanya hivyo la mama😍
Acha hizoooo weyeeee!!! Hebu fanya namna utubles kwanza long time hujaonekana selfika nafurahi kukuonaaa!!
Niko love nikisubiri😎Usiwaze napita uchiiii kabisa!
One time namalizia kitu hapa stay tunedNiko love nikisubiri😎
Nimekaa kwa kutulia☺️One time namalizia kitu hapa stay tuned
Learned brother..Nyanga Makani Bob wa kuchemsha Dec 15,2018.View attachment 3650850
Wouuuzah❤️Learned brother..
Umenivuruga where did u get that Nyanga makani🙆🏽♀️Wouuuzah❤️
Mgoogle tu Bob Makani.Learned brother..
Hiyo Nyanga Makani umetoa wapi? Nina mubaba wangu ana huu utambulisho 🙆🏽♀️
Huyu wangu ni jina lake🫢Mgoogle tu Bob Makani.
Umenivuruga where did u get that Nyanga makani🙆🏽♀️
Mungu wangu 🥺🙆🏽♀️Kutokana na uhodari wake katika masomo, Mheshimiwa Bob Makani alifaulu na kupelekwa Chuo Kikuu Cha Makerere, wakati huo kikiwa ni Chuo Kikuu cha pekee Afrika Mashariki, ambako alifuzu na kupata Shahada ya Kwanza katika Uchumi (BA Economics).
Hakuridhika na shahada hiyo. Mwaka wa 1961 alikwenda Chuo Kikuu cha Liverpool, nchini Uingereza na 1965 akatunukiwa Shahada ya Sheria (LLB).
Vipi mbn mshangaooo?Mungu wangu 🥺🙆🏽♀️
Tuishie hapa nitadhalilika🫢Vipi mbn mshangaooo?
Mi Sina hata uhusiano nae wowote huwa napenda tu kujifananisha naye.Tuishie hapa nitadhalilika🫢
Ndio ana ndugu yake huku baba mzima anaitwa hilo jina lake, sikuwahi kufuatilia historia 🤦🏽♀️Mi Sina hata uhusiano nae wowote huwa napenda tu kujifananisha naye.