Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dr. Mariposa uzi wako mods wamepita nao [emoji81][emoji81][emoji81]

Nilijua tu lazima wauripoti tulikuwa tunaenda kuzua taharuki..!!

Mods wangetuacha kidogo mpaka dada yeloo subahi afike kwanza vumbi litimke..!! [emoji81]
Uzi ulikua unahusu nini uduguu? Mbona napitwaa sana siku hizi.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Masai dada alikuwa anamponda dr Mari kuhusu kublendiana..!!
Sasa imejulikana naye Masai dada ni mdau lakini baadaye akaamua kuzuga kwa kumuomba msamaha baby wake ambaye Miongozo 😹😹😹

Sasa dr anasema kwanini anajinafkia mpaka yeye mwenyewe Masai?
 
Back
Top Bottom