Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,046
- 33,723
Heshima yako braza
Heshima yako braza
Hiyo inaitwa mwana ukome😜Maumivu 😢
Mbona hata sio lazima kusukaHiyo inaitwa mwana ukome😜
Nywele zenyewe😁,wazanzibar wanasema zipo mbali mbali😁Mbona hata sio lazima kusuka
Angenyoa tu
Kusi na kaskazi 😅😅Nywele zenyewe😁,wazanzibar wanasema zipo mbali mbali😁
Si unajua waliokosa nywele😁😁Kusi na kaskazi 😅😅
Hapo naona msusi alikua akicheka
Pole yao waje huku tuwakatie😅Si unajua waliokosa nywele😁😁
Huwa nachekaga sana,mtu Hana nywele anavyohangaika navyo Sasa🙌
Eeeh,kunyoosha,kuziosha Kila wiki,kusuka Kila wakati,,,hivyo vinywele Sasa😁Pole yao waje huku tuwakatie😅
Mwingine unakuta anazihudumia lakini wap
Tusiwanange lakini 😅😅Eeeh,kunyoosha,kuziosha Kila wiki,kusuka Kila wakati,,,hivyo vinywele Sasa😁
Umeona sasa Bismillah MashaAllah 😍Kweli,aliyewanyima wao ndio kutupa siye😍View attachment 3639823
kwema kabisaKwema apo.?
Nipo mkuu
kwema kabisa
basi vizuri nimefurah kusikia hivyo
hiyo roho ipone kwanza nitapata nguvu ya kupita kwa mbwembwe💃Fanya upite na roho yangu ipate kupona
Aaaghhiyo roho ipone kwanza nitapata nguvu ya kupita kwa mbwembwe💃
Ngoja nitoe vumbihiyo roho ipone kwanza nitapata nguvu ya kupita kwa mbwembwe💃