Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,147
- 55,151
Ngoja nijiondoe tu mchezoni vijana muanze kujianika.Log out kabla mambo hayajawa mengi
Thibisha kama umelia vinginevyo ni chaiNimelia sana ๐
Leo ulikua una vizia uchungulie ila ndioo hivyo๐๐Kuchungulia ni msamiati mkali kwangu maana me sijfichi huwa nashinda hapa napiga story mbili tatu muda uende
Weka leo nione pulizzzzPia huwa naweka nikipiga labda hujawai nibahatisha pia๐
Upo kwenye early 20s join 2017๐Who am i..๐ค kijana tuu nipo kwenye early 20s zangu najiandaa na Ue kesho inaanza mkuu๐๐๐
๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅMlale jmn na za kanisani๐๐๐
Asante na kwako pia ulale salamaHaya mlale unono
Kuna zile za kuishia nusu ya mguu hazina kisigino ukivaa na Skirt au gauni zinapendezea mnoYes huna namna
Mi sshv natafuta za kuvalia gauni au skirt
Lete habariTayana-wog ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Mungu akinipa wewe tafika mbali sana.Lete habari
Mwenyewe naishia zangu ๐ nilikuwa nakusubiri upiteNgoja nijiondoe tu mchezoni vijana muanze kujianika.
Hivi na wewe unaamini hajaona ๐คฃ๐คฃUongo umeanza lini? Amesharudia
Hii Tecno naweza nikagusa attach ikaupload vyeti, vibali, picha za mazao, picha za misibani na za Christmas ya 2011.Mwenyewe naishia zangu ๐ nilikuwa nakusubiri upite
๐Kwamba nitume machozi ama nathibitashe mguu??Thibisha kama umelia vinginevyo ni chai
Kuvizia nisingejileta hapa kusalimiana na wakuu me nimekuja lengo nijue ndugu zangu katika Bwana wa ukanda huu wanaendeleaje...๐ kwahiyo me sio mviziaji mkuu tutumie mpita njia labdaLeo ulikua una vizia uchungulie ila ndioo hivyo๐๐
๐๐Sawaaa ngoja niende Adobe kwanza๐Weka leo nione pulizzzz
Mkuu kwel chalii tuu mimiUpo kwenye early 20s join 2017๐
Nataka km hiziAsante na kwako pia ulale salama
Kuna zile za kuishia nusu ya mguu hazina kisigino ukivaa na Skirt au gauni zinapendezea mno
Uzuri I know him Vere wele ๐๐Hivi na wewe unaamini hajaona ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐๐Hii Tecno naweza nikagusa attach ikaupload vyeti, vibali, picha za mazao, picha za misibani na za Christmas ya 2011.
Looo mtwara siendi๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Mkuu ulale ukifikiria swala la mtwara ๐.
Uwe na usiku mwema mtumishi
karibuni sanaโบ๏ธNipo sema si tulihamia wedikapu
Ss imeisha tumerudi๐๐
Piga picha jicho likidondosha chozi๐Kwamba nitume machozi ama nathibitashe mguu??
Sawa mpita njia ๐คฃKuvizia nisingejileta hapa kusalimiana na wakuu me nimekuja lengo nijue ndugu zangu katika Bwana wa ukanda huu wanaendeleaje...๐ kwahiyo me sio mviziaji mkuu tutumie mpita njia labda
Na weitiiiii๐๐Sawaaa ngoja niende Adobe kwanza๐
Yankiii๐ฅ๐ฅ๐คฃMkuu kwel chalii tuu mimi
Kabla hujalala nataka nijilete uniweke mbele za Bwana mtumishi kesho kivumbi day๐๐Nataka km hizi
Mi uvaaji wangu ni wa kufunika mwili
Siachi mwili wazi zaidi ya kichwa na mikono๐๐๐
Halaf watu wanasema unapaka nn kumbe siri ni kufunika mwili