Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,045
- 33,720
Sisi ni pipo mkuu😃Nimefurahi wewe kupitwa 🤣🤣
Ubakie tu kusoma comment za wadau
Sisi ni pipo mkuu😃Nimefurahi wewe kupitwa 🤣🤣
Ubakie tu kusoma comment za wadau
alf usiwe unapotea mda mrefu bwana nakua nakumis mnoo😪Tayari eeh ngoja nifute
Hahaa asante
Pipoo🤣Sisi ni pipo mkuu😃
Sanaa 🥰, sema huku nilipo nashindwa kuvaaAsante chicca😀
Km we ulivyo mrembo
Unapenda travolta/boots?
Nipo sema si tulihamia wedikapualf usiwe unapotea mda mrefu bwana nakua nakumis mnoo😪
Wapi tena ?kuna joto?Sanaa 🥰, sema huku nilipo nashindwa kuvaa
Pawa pawa 😃😃Pipoo🤣
Nilipo kuna Joto, but nikiwaga Home kuna baridi navivaagaWapi tena ?kuna joto?
Ujue wewe sijawahi kukuelewa🤣🤣Pawa pawa 😃😃
Ooh pole hapo kweli nomaNilipo kuna Joto, but nikiwaga Home Mkoa kuna baridi navivaaga
Sentensi yako tata mkuu fafanua🤔Ujue wewe sijawahi kukuelewa🤣🤣
Ndiyo maana hapo ni burudani, na ktk hiyo mikoa kuna mmoja ndiyo homeOoh pole hapo kweli noma
Mi arusha, ir na mbeya na dom ndo maana nazivaa sn
Basi tu yaanSentensi yako tata mkuu fafanua🤔
Yes dihaNdiyo maana hapo ni burudani, na ktk hiyo mikoa kuna mmoja ndiyo home
Enjoy 😊, mimi sahivi navaa sana raba na Open ShoesYes diha
Nili-like tu sijaona chochote, labda arudie.Anihadithie tena?? 🗣 Mpaji Mungu
Uongo umeanza lini? AmesharudiaNili-like tu sijaona chochote, labda arudie.
Saizi sioni tena hizi zabibu zinaniletea wenge la usingizi.Uongo umeanza lini? Amesharudia
Nimelia sana 😃Basi tu yaan
Unapenda kuchungulia picha za watu ila wewe huweki hata kidole
Who are you?
Yes huna namnaEnjoy 😊, mimi sahivi navaa sana raba na Open Shoes