Selfika na JF: Snap it. Show it

Wacha weeh!! 😍😍
Likaka lizuri la mwaka wa mbele..!!

Huo uchebe sasa awwww πŸ”₯πŸ”₯
Unakuja kwa babu miga hafu unakataa..!!

Ukitokea kwa pembeni km Max vile..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa hivi nataka ziacha nywele niwe na Tundu Lissu stylez nilikuwa na zaidi ya zile mwaka juzi nikapata mshangazi ukanidanganya nikanyoa vi dred vyangu alafu akaniachaaa 🀣🀣 ila wadada nyie Mungu anawaona
 
Acha tu 😹😹😹
Raha waanze wenyewe, tukianza sisi tutaonekana wachokozi..!!
πŸ˜…πŸ˜… ila jf ikifika kipindi cha minyukano mod huwa wanakuwa na mitihani sanaaa .. na kazi ya ziada, maana watu huwa wanamwagika kama nyuki kila kona
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sasa hivi nataka ziacha nywele niwe na Tundu Lissu stylez nilikuwa na zaidi ya zile mwaka juzi nikapata mshangazi ukanidanganya nikanyoa vi dred vyangu alafu akaniachaaa 🀣🀣 ila wadada nyie Mungu anawaona
😹😹😹 Mshangazi Una roho mbaya huo, unakushauri ukate dred ili akupige chini ubaki na memories zake..!!
 
😹😹😹 Mshangazi Una roho mbaya huo, unakushauri ukate dred ili akupige chini ubaki na memories zake..!!
πŸ˜…πŸ˜… na tokea kipindi kile sijawai pata style kama ile , maana nilitunza nywele kila wiki zilikuwa zinapigwa vitu vya maana so zilikuwaa nyeusiii hatari alafu zang'aaa ile mbayaaa ila ndio ivyo nikajaa kwenye mfumoo shwaaaa kama alitumwaa vile
 
πŸ˜…πŸ˜… ila jf ikifika kipindi cha minyukano mod huwa wanakuwa na mitihani sanaaa .. na kazi ya ziada, maana watu huwa wanamwagika kama nyuki kila kona
Na mimi lazima nipewe ban 😹😹
Wakati hata ugomvi haunihusu khaaaa..!!

Ban za 2023 zile siji kusahau, nilipewa peke yangu kwenye ugomvi.. baadaye nikarudishwa..!!

Baada ya dakika nikafungiwa kukoment selfika, dakika 15 wakanirudisha eeehh ugomvi ukahamia kwa mods, tukawachamba mods na kina coca na Saint Anne mods wakawa wanafuta sisi tunawachamba.. 😹😹😹

Tukafirushwa woteeee na Uzi ukafungwa 😹😹😹

Tulikaa miezi mshana akaanzisha mwingine wa β€œUmevaaje leo” kule tukaanza tena midomo tukapewa ban tusichangie uzi.. watu wakarudi na maparody ukafungwa..!! 😹😹
 
Pole, mshangazi ulaaniwe huko ulipo..!! 😹😹
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Ndio muhimu na mod wachangamshwe nao .. sio wanapoaaa kama wapo msibani
 
😍😍😍
Code za leo πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Na hilo ganda uliloshika nipe nikusaidie kukutunzia..!! 😹😹😹
😁😁😁 ndio naingia ndani kulala dah ..
nikate wenge la usingizi alafu nirudi hapaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…