Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunaofungua shule tujuwane ๐Ÿซช
C.c Lamomy View attachment 3620607
Suti mpya nyingi ๐Ÿ˜น
Haya wewe nani tena?

Nimekuta tag km zoteee

Tukumbashane id ya zamani ipi?
Mgeni anamfahamu mpk Lamo aahh wewe mwenyeji kabisa pande hizi..!! ๐Ÿ˜น

Btw nimependa outfit 8/10 ๐Ÿ˜ป
 
Suti mpya nyingi ๐Ÿ˜น
Haya wewe nani tena?

Nimekuta tag km zoteee

Tukumbashane id ya zamani ipi?
Mgeni anamfahamu mpk Lamo aahh wewe mwenyeji kabisa pande hizi..!! ๐Ÿ˜น

Btw nimependa outfit 8/10 ๐Ÿ˜ป
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mie ni yule yuleeeeee wa miaka yooteee

Tupo wote tunazunguka humu humu suti mpya ila mtu wa kale kabisaaa
 
Unapata cappuccino ๐Ÿ˜ป
Unatafuna maisha sio maisha yanakutafuna..!! ๐Ÿ˜น

Kijana unaonekana mambo safi wewe umepoa Kama mvinyo wa kale.. mashallah.!!
๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Maisha ndio haya haya, hakuna aijue kesho, unapopata mda unakula
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ mie ni yule yuleeeeee wa miaka yooteee

Tupo wote tunazunguka humu humu suti mpya ila mtu wa kale kabisaaa
Hii ndo shida ya JF unaweza kuwa yoyote muda wowote..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Unakuta bwana ako anakutongoza mara ya pili kwenye id yako nyingine ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hii ndo shida ya JF unaweza kuwa yoyote muda wowote..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Unakuta bwana ako anakutongoza mara ya pili kwenye id yako nyingine ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
eeeh! na mkikubaliana mkikutana mnafanya tu kama hamjuani yani.. kitawakia home mtapo rudi ila mkiwa hotel nikupeana tu mambo hadi paweka moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ