Selfika na JF: Snap it. Show it

kuna watu wataamini unakoka kuni kweli,, mtu unakaa mtaa wa kitajiri hivi hata mkaa mnaujua kweli ๐Ÿค”๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Wewe binti nipo vijijini mimi endelea kunipamba, hapa nasubiri makande ya jioni yaive!

Haya bisha๐Ÿ˜Ž
 
ila wakishua hamna cha kupoteza kabisa,, sufuria ya laki 2 hamuoni shida kuweka kwenye kuni๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข,, ngoja niendelee kutafuta pesa tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Jamani kwani ukiyaweka kwenye kuni yanakuwaje๐Ÿคฃ mbona yanapika kama kawaida tu
 
mmh tuliletewa zawadi na dada etu wa mjini ni mwaka wa pili mama ameyatunza uvunguni mwa kitanda chake๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… hataki yaharibike
 
Hiyo tabia ya bibi yangu kuweka masufuria uvunguni mwake wakati kabati analo๐Ÿคฃ

Haya bora, kuna yale ya 350k mazito! Nilimkuta tafkiangu katenga kwenye kuni nikachoka๐Ÿ˜“
 
weee huyo rafiki ako anajua matumizi ya pesa sasa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… anataka viharibike ili vinunuliwe vingine
 
Alikuwa nayo kama hayo yakachakaa akayatupa, huwa namuangaliiaa๐Ÿค”
 
unamuangalia unashindwa kummaliza๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… unatamani umuokotee hata mawe
Yani sijui wakoje hawa watu wanaatupa vitu eti!wakati kuna wenzao hapa hatuna. Mmoja hapa namsikia anasema anataka kukitupa kitanda chake duh! Nimemwambia kigawe kuliko kukitupa duh!
 
mbona atupe kitanda kimefanya nini si bora akaki topup tu,, huyo tumchumie fimbo hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ