Selfika na JF: Snap it. Show it

nielekeze kwanza wanapo fanya massage mwili wangu unauma mnooo esp huku mgongoni nahisi nahitaji strong massage aseee😇
Pole sana unataka sehemu gani, njoo huku mbezi chini karibu na orca deco
 
niambie kwanza bei zao nijue natoka na kitita cha afu ngapi😄😄😄 au mawasiliano yao niwaulizie
We ingia instagram search spa zipo kibao huwezi kukosa unayoitaka! Tena hiyo ndio mbinu rahisi kuliko hii..
 
Kupungua Jambo jepesi saana,

Sema... Tuanze kukupa formula
 
Sumbai upo?

Nipe formula nimeongeza kilo 1 imeninyima raha 😥

Hapa nashindia matango na maji 😹
Hahaha...

Mama Kula tuu, kama ni shemeji mwambie akupende hivyo hivyo yaan asithubutu kukuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…