Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,854
😹😹😹😹 Umeanza!Hamna mkinga kabisa, na kaka yake alikuwa kamtoa mdogo wake mwingine wa kiume, kadri anavyoranduka ndivyo mzee alikuwa anapiga pesa, akianza kukaa sawa biashara zake wanadai zinapoa, kiukweli hata pale hotelini nilikuwa naona kuna sizi.. na alikuwa anampenda kinoma, bora umkosee bosi, sio yule mdogo wake chini..
Kwanza we mkinga acha nikae mbali na wewe, usije niweka msukule bure
Hayo maneno bhana maka..
Acha uoga kijana