Selfika na JF: Snap it. Show it

Si ndio mzuri mkiamua mna kiwasha
😹😹😹 Macho juu yule atafanya niwe napigana na watu..!!

Niliwahi kuvunja vioo vya gari vya shem wako nikaona haitoshi nikachoma nguo zake kisha nikamuita aje azifate kwangu sizitaki.. alipokuja anaulizia nikamuonyesha majivu..!!

Kwanza mwanaume mwenyewe mfupi km kikombe cha kahawa ndo anisumbue mfyuuu..!! 😹😹😹
 
Na selfika picha ya milioni tano , kwa nilivyovaa tu, wenye chuki wajitokeze mapema kabla Dirisha la usajili halijafungwa Seran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…