Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka hajavaa tumbo bandia ni kweli alikuwa mjamzito na kashajifungua kidume..!!

Wanaume wa dar sasa watapumzishwa ๐Ÿ˜น
Hongera kwa kweli MUNGU amempa kicheko ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š

Ila waja wana mambo kila mtu na story yake basi tafrani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kuna meme nimeona inawachamba wanaume wa Dar
 
Hongera kwa kweli MUNGU amempa kicheko ๐Ÿ˜๐Ÿ˜Š

Ila waja wana mambo kila mtu na story yake basi tafrani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Jamani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, kuna meme nimeona inawachamba wanaume wa Dar
Waja hawaamini kama wema kazaa kwani sio mwanamke? Wivu tu unawasumbua.

Wema hakupata mwanaume sahihi wa kumzalia. Ila kizazi anacho na alishawahi kutoa mimba ya Kanumba na Idrisa. Ss hivi angekuwa na mtoto yupo Advance au chuo sema hakuwa tayari kuitwa mama kwa muda ule.

Wanaume wa dar ndio wanaume bora Tanzania kwa kupiga mimba wanawake eti makaveli10 nasema uongo? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Walimsema mke wa pdidy (Mond) lakini kaunganisha East Africa ana watoto kote.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œila Lamo, nimekunyooshea mikono binti una maneno sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Asante kwa ufafanuzi ๐Ÿ˜Š, maneno kidogo picha kwa Wingi ๐Ÿšถโ€โ™€๏ธ
 
Niliwahi sema, huyo wema hajapata wa kumkojolea vizuri, mtu wa kukojoa, mzigo unatoka kama mate ya cobra..
Wanaobisha, waje tuwape mimba wao๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Niliwahi sema, huyo wema hajapata wa kumkojolea vizuri, mtu wa kukojoa, mzigo unatoka kama mate ya cobra..
Wanaobisha, waje tuwape mimba wao๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Waje wapigwe vibend wanaume wa dar igweeeeeeeeeeeeee

Wanawake wa mkoani wakija dar wanagoma kuwarudia mabwana zao wa mikoani wanakomalia dar..!! Hivi kaka zetu mnawafanyaga nini? ๐Ÿ˜น

Halafu nyie ndo mmewafundisha kuwazamia uvinza wa shenzy sana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hujanielewa, nimesema na mimi nivae tumbo bandia kumsapoti wog km kwenye bebi shawa ya wema. Si uliona wapambe walivaa mimba bandia.
Eeh kumekucha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ