Acha uoga dr ๐นHumu tuselfike tu, tukiwa na shida tutatafutana
Hauna kaforo karibu hapo unibles nisafishepo macho???๐น๐น๐น Mi nasema ukweli bila konakona Mungu aliumba mama akazaa..!!
Umenyooka km mchele wa basmati ๐ป
Kesho nitapita nakeeeeeeeedHauna kaforo karibu hapo unibles nisafishepo macho???
Hutaki kuniamin?Sema kweli? ๐น
We silent killer bhana yupo..!!
๐๐คฃ๐คฃ๐น๐น๐น Wewe muhansamu bhana..!!
Halafu una kamwili kazuri hata kitambi huna..!! ๐ป๐ป
Humu utachoka na Mishangazi. Ukitaka beautiful ladies karibu IG๐Kwendraa I don't wanna be a prey to mishangazi.
Ig ndo Kuna mashangingi sasa kule.Humu utachoka na Mishangazi. Ukitaka beautiful ladies karibu IG๐
Yaani wewe umechangamka hivi kumbe๐ Nilijua we mpole...mshamba_hachekwi njo upite chap nusu ya ile pic niiunganishie
Mimi ni mpole mno hapa nachangamsha genge pita basi tupo wenyewe tu usiite watu ๐Yaani wewe umechangamka hivi kumbe๐ Nilijua we mpole...
Utu uzima dawa Mkuu poleeVitu vingi kichwani usingizi siupati kabisa.
Haya, na wewe fanya jambo huku ukisubiri.mshamba_hachekwi nakusubiri
๐ค๐MC hakikisha shem anatakiwa kila muda maana katuheshimisha kina maaunt wa kijacho..!! ๐น๐น
Naanza kufunga sare ya bebi shawa mapema..!! Chagueni rangi
Na sasa wanakuita tajiri/boss/mtaalam/mtu wa kazi.Zamani nilikuwa naitwa mbavu nene
Duh nilipitwa jmn
Wananiita babu jinga la kuchemsha au babu jinga la dakika za jioni๐๐Na sasa wanakuita tajiri/boss/mtaalam/mtu wa kazi.