Eeh mzee baba leo nimeamua ninyonye kimea taratibu, ni baada ya kukutana na qoute flani eti, "Kunyweni bia jamani, mungu huangalia roho na si maini!"🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu niambie mzee mwenzangu naona unatupia bia
Kitu cha Moro hiki 😂😂😂
Milele amina baba parokoSister maria nakusalimia kwa heshima zote
Hahahahah eti Mungu anaangalia roho na sio maini jifariji tu mkuu hakuna namna akili za pombe hizoEeh mzee baba leo nimeamua ninyonye kimea taratibu, ni baada ya kukutana na qoute flani eti, "Kunyweni bia jamani, mungu huangalia roho na si maini!"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona una timu unamiliki upo vizuri sana, naomba niweke hisa
Kuna ibada unatakiwa uwepoMilele amina baba paroko
Naandaa somo la jumuiya kesho baba paroko!Kuna ibada unatakiwa uwepo
karibuni chai and gahwa wakuu[emoji4][emoji4]View attachment 1291312
Sent using Jamii Forums mobile app
More [emoji3589][emoji3589] [emoji73][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji1780]
Vizuri sanaNaandaa somo la jumuiya kesho baba paroko!
Aimen aimennn baba parokoVizuri sana
Mkuu nakuona barozi wa nyumba kumi unataka kufanya fujoDamn!!!
[emoji120][emoji120][emoji8]More [emoji3589][emoji3589] [emoji73]
Mkuu nimependa jinsi ulivyojipaka mafuta.Piga picha tuma nyumbani wazazi waone, maana leo nimetoka chicha mpaka tembele akasome/View attachment 1291338
It's Scars
Kapaka lipshine kapendeza sanaMkuu nimependa jinsi ulivyojipaka mafuta.