Weeh kumbe? ๐โโ๏ธUmechelewa tena alikua naked๐
Video
Hunichoki shoga ๐Weeh kumbe? ๐โโ๏ธ
Tupia basi na wewe tupo peke yetu muda huu..!
Ndonga imegangamala, inahitaji tiba.Tiba ya mshipa?
Unalala mnoo mshikaji wanguIko wapi?
๐น๐น Macho yanachoka vipi kutazama vitu vizuri..!Hunichoki shoga ๐
Mambo mengi huku wateja wa vijora wananisumbua kuulizia bei kununua miyoo ๐นUnalala mnoo mshikaji wangu
Mtu akiulizia, mvalishe kabisa.Mambo mengi huku wateja wa vijora wananisumbua kuulizia bei kununua miyoo ๐น
Na ndo tunakoelekea ๐น๐นMtu akiulizia, mvalishe kabisa.
Unamvesha, kisha unampiga search, ukikuta hela, unachukua kiasi chako, unampa chenji yake, kisha unamuuliza unatoa tip? Kama hatoi mpe haki yake, ataamua dera avue hapo ama akalivue nyumbani, ndio lishakuwa lakeNa ndo tunakoelekea ๐น๐น
Acha unisahau kidogo๐น๐น Macho yanachoka vipi kutazama vitu vizuri..!
๐น๐น๐น๐น Maka unafaa sana kwenye ushauri, Ngoja niufanyie kazi ila ukisikia niko msimbazi polisi uwahi kuja kunitoa..!!Unamvesha, kisha unampiga search, ukikuta hela, unachukua kiasi chako, unampa chenji yake, kisha unamuuliza unatoa tip? Kama hatoi mpe haki yake, ataamua dera avue hapo ama akalivue nyumbani, ndio lishakuwa lake
Chap kwa haraka natimba na karatasi ya dhamana๐น๐น๐น๐น Maka unafaa sana kwenye ushauri, Ngoja niufanyie kazi ila ukisikia niko msimbazi polisi uwahi kuja kunitoa..!!
Usichelewe wasije kunipeleka segerea ๐นChap kwa haraka natimba na karatasi ya dhamana
Haufiki, mie hapo ni chap kwa haraka.Usichelewe wasije kunipeleka segerea ๐น
Uje tu ccy mie nitakungojaNakuja kuchukua nguo pana pana sis uniandalie
Yani tunapishana sanaMiss you more sisss tunapishana sana
Unazidi kuwaka tu sisss nafurahi kukuona tena
๐น๐น๐นHaufiki, mie hapo ni chap kwa haraka.
Si unajua bodaboda hainaga foleni?
Anytime natua hapo sis nshamis Sato freshhhhhhhUje tu ccy mie nitakungoja