ku like sawa ila ku quote hapanaUnaniruhus ni like na ku I quote hiyo pic,π
Wangu waje πΉπΉπΉππππ ila uduguu jamanii, ko ufalme wa mahansamu ni wako, ko waje kwa wingi??
Alooooh
NimepitwaTayari jamani
Sawa sawaCredit to my bebe....ππ₯
Hongera dihaCredit to my bebe....ππ₯
sijalewa kiivo bibie au umetuma kwa manati mana sijaambulia kitu wkt nipo standby kama walinzi wa mama Abduli π¬Tayari nimetuma au haijafika?
Haina tatizo wewe sikupingi wala kukubishiaku like sawa ila ku quote hapana
Hongera na karibu sana ngazi ya 3! π§
Kumradhi, hii hapa.Weeh usintanie em weka pic hiyo usitunyime vitu vizuri ππ
Aah we natania banaππSafi sana ,km unazifahamu Haina haja ya kuzirudia
Tunaingia floor mpya au sio?Ahsante sana kaka. Bado saa moja niage umri wa mambo mengi
X nna hekaheka nna demu wangu ujue afu ananielewa kweli tatizo kifanyio sina..!! πΉπΉNimechekaa km mwehuu, πππ
Yaani huishiwi heka heka eeeh.
Mie nilikua na weka kwa faida yako,sio wageniAah we natania banaππ
Ht ingekuwa hivyo unarudia kwa faida za wageni
Astghafirullah we binti ππX nna hekaheka nna demu wangu ujue afu ananielewa kweli tatizo kifanyio sina..!! πΉπΉ
Siku akijua atajicheka, natamani kumpa assist cazee wangu tatizo niliwahi kumtukana kupitia parody langu na hajui km mimi.!! πΉ
Lazima zipigwe akinijua πΉ
Asante kipenziHongera diha
Wee umechelewa kuliweka pics hapa mpk sio poa πΉπΉπΉAkhaaa huachiiii π€£
Mie leo niko kando naangalia mangizo mapyaππ
ewaaa nimefurahi kusikia hivyo tresorHaina tatizo wewe sikupingi wala kukubishia
Basi sawaMie nilikua na weka kwa faida yako,sio wageni
Weka bhana