Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunataka ibaki ili tuje kuona mishepu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Yani mimi kila nikiingia hata km zimefutwa nazikuta zote..!!

Leo nimeona mpk ya ankal Mshana Jr kala kyuti na bado naiona mpk sasa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Mshana kumbe nae alipita live๐Ÿคฃ. No naked no emoj no hidden face๐Ÿ˜…. Aisee sijabahatika kumuona. Ila ndio vizuri wadau wengine wakafanya hivo Ili tufahamiane.
 
Mshana kumbe nae alipita live๐Ÿคฃ. No naked no emoj no hidden face๐Ÿ˜…. Aisee sijabahatika kumuona. Ila ndio vizuri wadau wengine wakafanya hivo Ili tufahamiane.
Yani chukuchuku na suti yake km anaenda kuwasilisha bajeti ya jukwaa la chitchat ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Ukipanda huko juu utaikuta ila km unajua jinsi ya kuiona..!!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mi napenda kuongeleshwa kwa upole kabisa,,, Tresor Mandala ndo kanifokea ile mchana ๐Ÿ˜„

Ila huyu ni ndugu yangu Tresor Mandala .
Jmos hii tukikutana kwenye mazoez kule osteybay nitamuambia asikufokee. Ww ni last born wa Melo.

Alaf shem Seran sio kila siku mabia.
Hebu tenga siku moja ya kutoa sumu kwa mwili ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ