kumbe na wew umepitwa? pole yetu jamni,,, haya tupia ka kitu basi π€ na wenyewe wakija wakutane na vumbiπNaona moto kila kona, wanataka kuuchoma uzi?
Nimeambulia patupu π
Nitakuchocha nikitaka kutuma usiwazekumbe na wew umepitwa? pole yetu jamni,,, haya tupia ka kitu basi π€ na wenyewe wakija wakutane na vumbiπ
Tupia kakitu basi tuburudike bibiekumbe na wew umepitwa? pole yetu jamni,,, haya tupia ka kitu basi π€ na wenyewe wakija wakutane na vumbiπ
unambie sas nisije nikakutana na vumbi mkuuNitakuchocha nikitaka kutuma usiwaze
yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi aseeπ’Tupia kakitu basi tuburudike bibie
Tupia wewe acha longolongo!yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi aseeπ’
kitambo sipo jukwaani,yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi aseeπ’
shemej angu kabisa.Tupia wewe acha longolongo!
ooh sawa,, ngoja nitupie marudio sasakitambo sipo jukwaani,
Leo hujatupia kabisa fanya kutubless one time π₯
Sasa we hujui maskini Hana aibuDada'ake huchekagi na kimaπ
Binti wa kinyarwanda.yan natupiaga kila siku sijui unakuaga wapi aseeπ’
Ulikuwa wapi tumepita mno hii mitaa shem darling! fanya kunibless kabisa kabla sijaanza kuona giza gizaπ΅shemej angu kabisa.
Ukipita nitag tafadhali.
we mwenyew umetupia kmy kmy hata kuniita hakuna,,πͺTupia wewe acha longolongo!
πΉGwa kimatraifa maninna
Nyie leo mnaniuaa kwa furahaaaaa aririririririiii
Mko mizuriii afu mitramu aiiiiiiiiiiiiiiiiih
Kwakweli kwenye swala zima la sasampa hunaga mzaha dada!πSasa we hujui maskini Hana aibu
mbona umeanza kuzua taharuki broo ππππ sema shamba gal na sio kinyaruBinti wa kinyarwanda.
salamu kwako
Mpaka napita nakuona kwa mbalii, ulienda kufungulia mbuzi au?we mwenyew umetupia kmy kmy hata kuniita hakuna,,πͺ
hapana ni kuku ndo wamenichelewesha kuja hukuMpaka napita nakuona kwa mbalii, ulienda kufungulia mbuzi au?