ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,638
- 41,978
Jesus Jesus π πUlikalia kona ipi πΉ
Usiku huu watu wanatengeneza sura, halafu hiyo scrub sio makeup..!!
Em tutolee ushamba wako πΉ
Wewe sema unataka picha ya murembo ulale bila stress..!!
Wee muongo tuu, πππCoca niwekee kapicha kengine kale ka jana kamenifanya nilale km katoto π₯°
Baasi naachaSura inakusaliti mahi huoni unakimbiza baraka? πΉ
Achana nae huyoTuma kijana aone uumbaji πΉπΉ
πΉπΉ Mnawafanya watu mioyo iende mbio.!!Jesus Jesus π π
Subirii baadae kdg. πππSitolala mpaka nawe nikuoneπ€
Hivi kuna mtu kawahi ku selfika kisha ambiwe mbaya humu mie naona kila mtu mzuriiπ ππΉπΉ Mnawafanya watu mioyo iende mbio.!!
Kweli udugu ulizomea vizuri mpk watu sukari ikapanda πΉWee muongo tuu, πππ
Yeah Tena inakuja ikiwa na six pack full sun glasses π€. Si ndio mambo unayoyapenda hayo mrembo?πTuma kiongozi, usimame sasa sio km ile ya siku ile nikakwambia uinuke ukagoma..!!
πππ ila uduguu jamanii, wee ni mkaree.Kweli udugu ulizomea vizuri mpk watu sukari ikapanda πΉ
Na kale kababy face mix rangi ya mtume na white tshirt awwww πππ
Ulikuwa hot π₯
Uache ndioBaasi naacha
Ni matumaini yangu utakuja live bila naked bila emoji. Just you and your little smile π€Subirii baadae kdg. πππ
Nasubirii hapa nikuonee leo, πππYeah Tena inakuja ikiwa na six pack full sun glasses π€. Si ndio mambo unayoyapenda hayo mrembo?π
Tumuache hiyo kwiyoo πΉπΉAchana nae huyo
Wachaa wee, wee si umesema tuweke Giza kwa picha kuficha Details.Ni matumaini yangu utakuja live bila naked bila emoji. Just you and your little smile π€
Kumbe huyu bi dada yupo hot. Ngoja nisubirie tabasamu lake atakalo nionyesha hapo baadae kidogoπ€Kweli udugu ulizomea vizuri mpk watu sukari ikapanda πΉ
Na kale kababy face mix rangi ya mtume na white tshirt awwww πππ
Ulikuwa hot π₯
πΉπΉπΉ Ndio, mimi hapa..!!Hivi kuna mtu kawahi ku selfika kisha ambiwe mbaya humu mie naona kila mtu mzuriiπ π
Mimi nilishapita ka majuzi hivi. Na nimeahidi kupita Tena safari hii ni liveπ€. Wewe sikuwahi hata kukuona. Tuma Leo kwa ajili yangu ukiwa live...Nasubirii hapa nikuonee leo, πππ
Mashallah Mashallah π₯°Yeah Tena inakuja ikiwa na six pack full sun glasses π€. Si ndio mambo unayoyapenda hayo mrembo?π
Ukweli usemwe uduguu uko hot π₯πππ ila uduguu jamanii, wee ni mkaree.
Woiiih.