Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona uzi umetembea sanaa humu ndanii?
Kulikuwa na jambo ganiii? Pages 70, sio mchezo aloooo.

Duuuuh
 
Lamomy
Wee uduguu, kwani humu kulikua na nini leo? Mbona kumewaka sanaa??
Nisamaraizie Plz.
Uzi leo ulikuwa wa moto wakaka wamekiwasha sio pouwa 😹😹😹

Maka sasa kafanya dhambi ya fashooooonn
Kapita naked hafu liko hot mbaya πŸ”₯πŸ”₯
 
Uduguuu hii sauti ni km ya mdada fulani, nilikua nae pale main campus, na yeye alikua anapenda kuimba.
Alooo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe na huyo mdada kila siku unayenifananisha naye kuna kitu 😹😹
 
Uzi leo ulikuwa wa moto wakaka wamekiwasha sio pouwa 😹😹😹

Maka sasa kafanya dhambi ya fashooooonn
Kapita naked hafu liko hot mbaya πŸ”₯πŸ”₯
Wamekiwasha kwa kuchamba au? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana huko juu nimeona sijui mwanaume sijui kidampa yanamtoka maneno.
Nikaamua nitazame pages, naona za kishato, afu nimechoka Leo,

Ndio nikauliza, nikajua labda kuna ubuyu waπŸ”₯ umenipita.

Wakaka πŸ₯΅ wako huku nje mahii, kunae huyoo huyu ntaweweseka week nzima.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…