[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oya emu wacha hizo, sasa nalipataje mimi?
Wakuu hii picha inayo treand mtandaon ni ya kweli ama ni photo shop? View attachment 1290835
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenza unakunywa chibuku?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Ulipotelea wapi baba wa mtoto mzuri?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ukiwa sober tu unakuwa hivi siku ukilewa sijui itakuwaje [emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85]
Waoga sana.
Nimetuma msosi wangu huku mods wameuweka wapi sijui. Wananitafuta naona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kuna siku yalipita hapa Morogoro yakielekea Dodoma.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama hajakujibu na majengo yake sijui,, ngoja niendelee kutiririka na comments
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ukilewa unajijua? Yaani unajielewa yale unayafanya?
Nataka nijaribu kulewa nione nini nitafanya[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huwa najielewa hasa yale ninayoyaongea,, labda ni vile sijawahi kulewa kama inavyotakikana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kuna siku yalipita hapa Morogoro yakielekea Dodoma.
Mkwe we upo mbali [emoji41]Mkwe usinifanyie hivyo tafadhali.
Mbali na nini?Mkwe we upo mbali [emoji41]