Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,324
Hakika Mkuu50 kweusi
Hakika Mkuu50 kweusi
Unanichosha mfyuuu!!Rudia nimetuliza macho yangu.. lakini reply kwangu
Umenyoa?😋😹😹😹 Najikuna
Afu unataka na sisi tupite naked?Unanichosha mfyuuu!!
Unaficha sura kama unauza bangi 😂Unanichosha mfyuuu!!
Acha uongo lamomy jmn😹😹😹 Basi sawa
Tusubiri majirani walale basi, nikujuavyo huchelewi kuliamsha mbele za watu 🤪Haya tuzungmze basi🤣
Kaweka tenaSijaona sheikh
Jamani 😹😹Umenyoa?😋
Hali mbaya babuu🤣🤣Tusubiri majirani walale basi, nikujuavyo huchelewi kuliamsha mbele za watu 🤪
Ndio piteni nawasubiri 😹Afu unataka na sisi tupite naked?
Hahahaha, Mtumishi bhana,wkt hapo juu umesema wale Tall na ha...ndio..Mungu aliyetuumba tofauti unamuonaje?
Wanawake %kubwa sshv hawaangalii kimo
Shauri yako
Kwahiyo mnataka watu waeke sura zao muanze kusema wewe si fulani 😹😹😹Unaficha sura kama unauza bangi 😂
🤣🤣Huyu ndio ananidai ile ishu, wengine mnanibambika
Shida we unajificha sana bana,Ndio piteni nawasubiri 😹
Mbona sisi tunawekaKwahiyo mnataka watu waeke sura zao muanze kusema wewe si fulani 😹😹😹
Ni nani sasa? 😳Acha uongo lamomy jmn
Sio wewe
Hivi humjui huyo🤣🤣Shida we unajificha sana bana,
Ngoja nitafute kwenye makabrasha ya zaman labda nitapata picha ya ujanani
Sina jipya