Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe una tabia kama yangu ya kwenda kugoogole lens! πŸ˜‚
Jana nikalens picha za seran alizonitumia nikaambulia manyoya🀣

Jf weka picha ambayo hujawahi kuiweka kwenye mitandao mingine tofauti na hapo tutakujua
Yaani mimi huwezi kunizidi akili kirahisi hivi mamaake! kwanza sipost picha utazipataje?

halafu hii tabia ni mbaya siku ukakute picha yangu iko page ya nigerian celebrity huko!🀭
 
Yaani mimi huwezi kunizidi akili kirahisi hivi mamaake! kwanza sipost picha utazipataje?

halafu hii tabia ni mbaya siku ukakute picha yangu iko page ya nigerian celebrity huko!🀭
Tulia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…