Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna kipindi nilipost picha humu nikaambiwa Hizo picha sio zangu 😂 eh kumbe kuna watu wana taarifa zangu ambazo Mm mhusika sina 😂

Ila mm nadhani jinsi unavyokuwa serious sana humu, ndivyo utakavyozidi kuumizwa kichwa na watu wa humu.
Ndio ukaamua ujianike leo mdogo wangu🤣🤣 ila wapare kwa ubishi hatujambo
Kuna mtu humu alipost picha, hiyo picha nikaifanyia Google lens nikakutana Na picha zake kibao Instagram, sasa nikajiuliza Ipi sababu ya kuficha sura humu afu hapo hapo insta zipo kibao 😂
Acha basi nawe mfukunyuzi aisee 🤣
Ni nani huyo😎
 
Bro wataacha kuselfika 🙌🏾 inatosha
 
Kumbe una tabia kama yangu ya kwenda kugoogole lens! 😂
Jana nikalens picha za seran alizonitumia nikaambulia manyoya🤣

Jf weka picha ambayo hujawahi kuiweka kwenye mitandao mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…