Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa wanakaa kimya ukianza tu kupendana hao wanakuja kukudai maex na chicks wapya wanajigonga..!! 😹

Kuna member nilikuwa namtania humu nikashangaa nimepata wake wenza wa kutosha mpk wengine wanajigonga piemuni wampe bure kunikomoa 😹
Eeeh wampe bure?
Nikabaki nashangaa imekuwaje mwanzo walikuwa wapi? πŸ™†β€β™€οΈ
Acha basi
 
Binti sayuni wanawake kutoka njombe tunawajua tu sura zao mpaka unajiuliza ivi kati ya bustani na huyu nani analala nje
Wewe una chuki zako tu!
Wale mabinti waliokufa kwenye lile jengo kkoo uliwaona yule Pude na dadaake?

Unataka kuniambia zile sura za kulala nje?
Unakutana na wa wapi wewe??
 
Toka umeanza kunitania
Umeona hata dalili?
 
Wewe una chuki zako tu!
Wale mabinti waliokufa kwenye lile jengo kkoo uliwaona yule Pude na dadaake?

Unataka kuniambia zile sura za kulala nje?
Unakutana na wa wapi wewe??
Alooh wale walikua bomba sana au mimi nakutana mfano wa roboti lililozinduliwa bungeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…